Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,644
- 3,880
Najua huku kuna wanamitindo na jukwaa linapitiwa sana na watu wengi.
Hivyo basi naomba msaada wa rangi (colour of the year) maana ninashughuli hivi karibuni mchangiaji ukitupia na kapicha itapendeza.
Shukrani kwa wote watakao soma na watakao toa michango