Naomba kujua cv za watangazaji wa star tv hususani hawa wa kike

Jaman,me tatzo ni zile suti za wale mabwana dah-ful oversize!
Wajfunze kwa kna kikeke.
 
Yvona Kamuntu ni mtangazaji ambaye ninamfagilia sana after Makungu anajua ni nini anachotakiwa kufanya, kaza buti mdada mda c mwngi tutakusikia upo uingereza km c VOA
 
Majority ya staff wa Star TV wana weledi wa kutosha wa kazi ya uandishi wa habari. Napongeza recruitment team yao. Utaelewa upana wa uelewa wao wakiwa kwenye vipindi vya tuongee asubuhi na vinginevyo. Huyo dada unaedai kasomea Buguruni ni kichwa hasa halafu ni mzuri vilevile na ajaua kuutumia uzuri wake mbele ya camera. Huwa nafurahia kumuangalia akuhoji au kutangaza taarifa ya habari.

Majembe mengine yapo kwenye uchambuzi wa magazeti siku ya jumamosi. Doto na wenzake wanafanya kazi nzuri sana. Ila lile pazia la kijana huwa linaniboa sana. Nahisi wanalazimishwa na kibosile wao waliweke..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…