Kenan john JF-Expert Member Joined May 20, 2018 Posts 211 Reaction score 279 May 20, 2018 #1 Wanajukwaa naomba kujua dalili hasa za Typhoid..maana nimeanza kusumbuliwa na Tumbo toka jana na Mwili kupata Joto na koo kuuma.
Wanajukwaa naomba kujua dalili hasa za Typhoid..maana nimeanza kusumbuliwa na Tumbo toka jana na Mwili kupata Joto na koo kuuma.
A.J Senior Member Joined Jun 9, 2015 Posts 140 Reaction score 147 May 26, 2018 #2 Kwangu ilikuwa uchovu, kukohoa, kizunguzungu, kuhis usingiz mda wote. Tumbo haliumi wala nn