Naomba kujua dalili hasa za Typhoid

Naomba kujua dalili hasa za Typhoid

Kenan john

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Posts
211
Reaction score
279
Wanajukwaa naomba kujua dalili hasa za Typhoid..maana nimeanza kusumbuliwa na Tumbo toka jana na Mwili kupata Joto na koo kuuma.
 
Kwangu ilikuwa uchovu, kukohoa, kizunguzungu, kuhis usingiz mda wote. Tumbo haliumi wala nn
 
Back
Top Bottom