Naomba kujua dawa ipi inaweza kunisaidia kuzuia kuwa na kipara

Naomba kujua dawa ipi inaweza kunisaidia kuzuia kuwa na kipara

mahindi97

Member
Joined
Nov 10, 2018
Posts
67
Reaction score
89
Jamani wana jukwaa Mimi ni member wa jf Sema si muandishi sana.
Twende kwenye mada Mimi ni kijana 21aged sasa mwenzenu nisha anza kuona nywele zina nyonyoka please anae jua dawa au njia ya kutatua anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tumia parachichi hakikisha kila siku unajipaka kichwani unapoendaa kulala ni tiba tosha kwa miezi mitatu itategemea na cell zako katika kichwa
 
Kama hauna busara jitahidi uwe nazo maana jamii itategemea izipate kutoka kwako.
 
Nimeona Police Nawapenda Sana Rais
Wengi Wana Vipara Sasa Sijui Kofia


Kuhusu Dawa Vumilia Ndugu Yangu
Kipara Siyo Kovu
 
Back
Top Bottom