M mahindi97 Member Joined Nov 10, 2018 Posts 67 Reaction score 89 Jan 21, 2019 #1 Jamani wana jukwaa Mimi ni member wa jf Sema si muandishi sana. Twende kwenye mada Mimi ni kijana 21aged sasa mwenzenu nisha anza kuona nywele zina nyonyoka please anae jua dawa au njia ya kutatua anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani wana jukwaa Mimi ni member wa jf Sema si muandishi sana. Twende kwenye mada Mimi ni kijana 21aged sasa mwenzenu nisha anza kuona nywele zina nyonyoka please anae jua dawa au njia ya kutatua anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Jan 21, 2019 #2 Utajiri huo mkuu kazana kutafuta pesa zaidi
M mahindi97 Member Joined Nov 10, 2018 Posts 67 Reaction score 89 Jan 21, 2019 Thread starter #3 Duuuh Sent using Jamii Forums mobile app
toriyama JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 1,139 Reaction score 2,223 Jan 21, 2019 #4 tumia parachichi hakikisha kila siku unajipaka kichwani unapoendaa kulala ni tiba tosha kwa miezi mitatu itategemea na cell zako katika kichwa
tumia parachichi hakikisha kila siku unajipaka kichwani unapoendaa kulala ni tiba tosha kwa miezi mitatu itategemea na cell zako katika kichwa
M mahindi97 Member Joined Nov 10, 2018 Posts 67 Reaction score 89 Jan 21, 2019 Thread starter #5 Masking Agent said: tumia parachichi hakikisha kila siku unajipaka kichwani unapoendaa kulala ni tiba tosha kwa miezi mitatu itategemea na cell zako katika kichwa Click to expand... Sawa mkuu ila miezi 3 ntakoma Sent using Jamii Forums mobile app
Masking Agent said: tumia parachichi hakikisha kila siku unajipaka kichwani unapoendaa kulala ni tiba tosha kwa miezi mitatu itategemea na cell zako katika kichwa Click to expand... Sawa mkuu ila miezi 3 ntakoma Sent using Jamii Forums mobile app
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,001 Reaction score 6,194 Jan 21, 2019 #6 Kama hauna busara jitahidi uwe nazo maana jamii itategemea izipate kutoka kwako.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 21, 2019 #7 Nimeona Police Nawapenda Sana Rais Wengi Wana Vipara Sasa Sijui Kofia Kuhusu Dawa Vumilia Ndugu Yangu Kipara Siyo Kovu
Nimeona Police Nawapenda Sana Rais Wengi Wana Vipara Sasa Sijui Kofia Kuhusu Dawa Vumilia Ndugu Yangu Kipara Siyo Kovu