Chililo
Senior Member
- Mar 22, 2013
- 150
- 114
Mbuzi wangu anasumbuliwa na kidonda kikubwa sehemu ya tumbo. Kina wiki sasa. Mara ya mwisho alikuja daktari akamsafisha na hydrogen peroxide, akamshona na kuacha sehemu wazi ya kupitisha hewa..kisha akamchoma sindano ya antibiotic na kuacha dawa moja ya kuspray....lakini hadi leo ni wiki moja imeisha sioni dalili ya jeraha kukauka.
Japo mbuzi anakula. Lakini akikaa lile jeraha linatoa mlio katika sehemu iliyowazi kama hewa inayopita. Naumia sana sababu nampenda mbuzi wangu.
Naomba msaada ipi ni dawa nzuri ya kumsaidia.
Japo mbuzi anakula. Lakini akikaa lile jeraha linatoa mlio katika sehemu iliyowazi kama hewa inayopita. Naumia sana sababu nampenda mbuzi wangu.
Naomba msaada ipi ni dawa nzuri ya kumsaidia.