Naomba Kujua Elimu na GPA ya Jakaya Kikwete!

Msisahau pia kuwa alikuwa fellow member wa kumbi za DDC Magomeni Kondoa na DDC Kariakoo
 
GPA haisadii kitu, mbona wapo wenye GPA kubwa ni vibonde tu, kadhalika wenye GPA ndogo watendaji wazuri. GPA ya JK ya mwaka 1975 itakusaidinia nini leo kujua uwezo wa JK. Mimi naona kwa elimu yake JK inamtosha kabisa na anafit kama kuna matatizo mengine sio kwasababu ya elimu yake au GPA yake bali ni limfumo zima lililooza linalokufanya wewe muda huu uwe unaposti threads hapa badala ya kufanya kazi. Je utovu huo wako wa nidhamu unasababishwa na GPA ya JK?

Ebo!!!!! tuwe na staha ngaa kidogo
 
Alikuwa na Gentleman degree which means ni less than 2.0. Alisoma udsm economics na alikuwepo kwenye list ya vilaza

GPA scale below 2 kwa UDSM huyo sio graduate kabisa, cos the lowest ni 2.0 sasa hii yako ya below 2.0 umeipata wapi?

All in all kuwa na GPA kubwa sio kigezo cha kuwa na busara na utendaji mzuri wa kazi. Nadhani hata muuliza swali mwenyewe anaonekana ana tatizo la uelewa na ndio maana katika akili yake anadhani GPA ndio itaenda kufanya maamuzi mazuri na yenye tija kwa taifa which is not alway true.
 

Mwaka 1975 haubadilishi ukilaza wa mtu!

Ukiwa kilaza unaendelea for life!! huwa hauishi kama upele!!!
 
Hivi yule mgombea mwenza darasa la 7,mmeshamsahau. Slaa je elimu yake vp. Udr wake ni wa nini
 
Mkuu huwezi ufanyia maboresho!?

Tatizo hata uki-remark paper zake hutaona sehemu ya kuongeza marks japo apate 2.5!!!! ili asahihishiwe upya lazim u-appeal, kama hana mawazo ya ku-appeal wala hakulalamikia matokeo aliliridhika nayo probably alifanya sherehe... who knows!!
 
Hivi yule mgombea mwenza darasa la 7,mmeshamsahau. Slaa je elimu yake vp. Udr wake ni wa nini
 
miafrika mijinga utaiona. inaulizia gpa kama vile gpa ndio inafanya kazi. mrema hakuwa na gpa lakini kazi alifanya. sokoine hivyo hivyo. gpa kama zinafanya kazi mbona vyuo vyetu hovyo!
Safi sana. Unajua humu jamvini tupo kama figure tu. hivi yeye anayeuliza maswali ya gpa ana elimu gani labda mpaka aulize swali kama hilo.
 
miafrika mijinga utaiona. inaulizia gpa kama vile gpa ndio inafanya kazi. mrema hakuwa na gpa lakini kazi alifanya. sokoine hivyo hivyo. gpa kama zinafanya kazi mbona vyuo vyetu hovyo!
vp na wewe gentle nini mbona unahasila sana!
 

Ebwanae, ningekuwa karibu na ww ningekushika mkono badala ya kukupigia makofi. Hivi hawa watu wanaweza kufananisha degree ya 1975 na hizi wanazozichakachua siku hizi hadi wasiweze hata kufikiri na badala yake wanabaki kuropoka. Siku moja nikaona COMEDI ya masanja wanasema siku hizi wanafunzi wanajua kingereza cha tuition kuliko anachotakiwa kujua. is true:clap2:
 
Ogopa sana mtu anayetaka kujua GPA za wenzake. Huyu mtu lazima alisoma kwa shida sana, halafu hajalipa mkopo wake uliomuwezesha kusoma ili wengine nao wasome. Nchi hii inaweza kuongozwa na mkulima maana wasomi wote wameshindwa kutufikisha tunakotaka kuanzia Baba wa Taifa. Kifupi Elimu inakupa ufahamu ziada tu katika maisha yako na majukumu utakayopewa na jamii kabla hujafa! Acha Ushomire wako hapa hausaidi nchi hii. Tunamadaktari na maprofessa kibao lakini tuko chini zaidi ya Rwanda ya juzi tu! na South Sudan inakuja sasa tutabaki mkiani siku zote sababu ya watu kama wewe.
 

IQ basi eeti! sasa nini kinamsumbua??
 

GPA haiongozi inchi!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwani ni wazazi wangapi wana GPA nzuri na hawawezi kuongoza familia????
Kwani unafikiri maprofessor wote waliopo vyuo vikuu ni viongozi wazuri????
Hapa cha maana system iliyopo, na wala siyo mambo ya GPA!!
 
Slaa ana nini vile..

Certificate ya kanuni za kanisa?

Yaani jinsi ya kuendesha misa?
 

Kwa hiyo unataka kutuambia 1975 hamna watu waliopata GPA 4.0?
 
Name:Jakaya Mrisho Khalfani Chandarua Kikwete

Education: UDSM 1975, LLB GPA 2.72

source archives, unless sio Kikwete huyu raisi.
 
Confirmed he scored a total of 2.1 GPA

Sawa,lakini uongozi si GPA only...mbona Lukuvi inasemekana ni std 7 lakini ni kiongozi mzuri?? Tumpime mtu kwa utendaji katika nafasi yake, si kwa elimu,otherwise Chenge angekua ni kiongozi mzuri kama hayati Baba wa Taifa..
 
Wisdomis the right use of knowledge. To know is not to be wise. Many men know a great deal and are the greater fools for it.There is no fool so great a fool as a knowing fool. But to know how to use knowledge is to have wisdom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…