sina mchango! kinachoangaliwa hapa ni maamuzi ya kijinga yanayofanywa na viongozi wetu, mfano lowasa na kikwete waliwahi kusema mikopo itolewe kwa wanafunzi waliopata form six division one na two only. je wao waliweza kuzipata izo wakati wao? mtoa mada hajakosea anajaribu kupima watu kwa kipimo walichokiweka wenyewe. ccm kusema kuwa mgombea wa urais awe amemaliza chuo kikuu, kipimo kinachofuata je kwa kiwango gani? haijalishi una diploma au degree bado unaweza kuwa kiongozi mzuri, ila ukianzaa kuboronga kama jk itabidi tukupime kwa kipimo chako unachostahili
Jamani nimekuwa najiuliza sana juu ya uwezo wa Kikwete kuongoza nchi. Inakuwaje Rais mzima anashindwa kufikiri kama vile hajaenda shule? Nimesoma kwamba ana elimu ya Chuo Kikuu, lakini mbona haelekei kama ni Rais mwenye elimu ya ngazi hiyo?
Kama kweli alienda shule na ana shahada ya Chuo Kikuu naomba niambieni kiwango chake cha ufaulu (GPA) wa hiyo shahada yake, maana inavyoonekana wapo wanaojua uwezo wake wa kufikiri ndio maana wanamfanyia madudu wakijua hataweza kufikiri kwa 'level' ya kujua kuwa anachezewa shere.
Naomba na za watoto wake maana kwa style CCM isije na watoto wake wakawa kama Baba yao. Ni muhimu wasije wakapewa uongozi ikawa tunaendeleza ule usemi 'like father like child'.
Nisaidieni jamani, maana siamini kuwa Kikwete ameenda shule!!!!!!!!
Ana GPA ya 2.1 BA (Economics)

Woo I like this one. But lazima tukumbuke ph D zote ambazo kapewa hazina GPA, hii ni facts...Sasa kuhusu college mimi nafikiri tusiende mbali tumpime kwa uongozi na CV yake yote. Leo tunajua tangu aingie Ikulu 2005, Lowasa na yeye waliweza kuanzisha jopo la wezi na Rostam akajitokeza kama Commando wa deals, thamani ya shilingi imeenda chini tangu yeye na Mkapa. Nashindwa hata kuzungumzia kwa kirefu nikitaja jina la Mkapa, kama mtu wa kumlinganisha ni Mkapa alietutia hasara kitaifa for another 50years to come, lakini sina wa kumlinganisha na JK. Ukiangalia makampuni yote serikali imesimamia kujiuzia, waliofaidika na wanaofiadika mpaka sasa ni wawekezaji: JK, Lowasa, Rostam, Mkapa, na mafisadi. Nafikiri kwa kifupi tu nisummarize ifuatavyo:
Vitengo Grade
Uongozi F
Uchumi -F
Wizi - F
Rushwa -F
Uzembe -F
Selfishness -F
Starehe na mavazi A
Kusafiri A
Kutaka Credit za bure A
Kulinda Mafisadi A
Role model -F
Jamani nimekuwa najiuliza sana juu ya uwezo wa Kikwete kuongoza nchi. Inakuwaje Rais mzima anashindwa kufikiri kama vile hajaenda shule? Nimesoma kwamba ana elimu ya Chuo Kikuu, lakini mbona haelekei kama ni Rais mwenye elimu ya ngazi hiyo?
Kama kweli alienda shule na ana shahada ya Chuo Kikuu naomba niambieni kiwango chake cha ufaulu (GPA) wa hiyo shahada yake, maana inavyoonekana wapo wanaojua uwezo wake wa kufikiri ndio maana wanamfanyia madudu wakijua hataweza kufikiri kwa 'level' ya kujua kuwa anachezewa shere.
Naomba na za watoto wake maana kwa style CCM isije na watoto wake wakawa kama Baba yao. Ni muhimu wasije wakapewa uongozi ikawa tunaendeleza ule usemi 'like father like child'.
Nisaidieni jamani, maana siamini kuwa Kikwete ameenda shule!!!!!!!!
kwa enzi hizo economics ilikuwa haija chakachuliwa na ndio maana alipata gentler mana ingekuwa kwa sasa angekuwa na first GPA
dr. Slaa ana phd ya canon laws toka rome University,grade za hicho chu chini ya passmark ya 75 umesup ila bro alimalizaHivi yule mgombea mwenza darasa la 7,mmeshamsahau. Slaa je elimu yake vp. Udr wake ni wa nini