Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,278
Hapa itategemea pub ya hadhi gani,Wakuu heshima kwenu.
Kwa wenyeji wa Mkoa wa arusha (mjini na maeneo ya karibu) ni maeneo gani ni naweza kufungua biashara ya pub/grocery na ikawa ya mafanikio? Eneo Liwe limechangamka, mzunguko mzuri, Kodi iwe ya kawaida (60,000 hadi 100,000), na lenye usalama kibiashara.
Asanteni sana kwa mtakaoguswa kuchangia.
Kajenge Mkonooo kule karibu na East Africa road(bypass), kule watu hawajapata pa kupumzikia mida yetu ya jioni, tena ukitega na kasikilini ka mpira umemaliza mkuu
Hapa itategemea pub ya hadhi gani,
Ukishajua hilo ni rahisi kupick eneo
Kodi ya 60 mpaka 100k lazma ni nje ya mji sana... kwa morombo labda...
Mkuu funguka zaidi....kajenge au kijenge?
mianzini kuna mzunguko sana wa watu sema nikutafutie chumba
Wakuu heshima kwenu.
Kwa wenyeji wa Mkoa wa Arusha (mjini na maeneo ya karibu) ni maeneo gani ni naweza kufungua biashara ya Pub/grocery na ikawa ya mafanikio? Eneo Liwe limechangamka, mzunguko mzuri, Kodi iwe ya kawaida (60,000 hadi 100,000), na lenye usalama kibiashara.
Asanteni sana kwa mtakaoguswa kuchangia.