Naomba kujua fursa zinazopatikana katika jiji la Mbeya

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni kijana ninayesaka fursa kutoka mkoa wowote ule ili mkono uende kinywani.

Nimekuja kwenu leo kuuliza fursa zinazopatikana Mbeya ili niweze kuziendea.

Naombeni ushirikiano wenu watu wa Mbeya au mtu yeyote aliye na fursa ambayo tutaweza kufanya kwa pamoja na kutusua katika maisha haya ya awamu hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mtaji bei gani?
Na plan yako ilikuwa ni ipi?
Upo wapi now?
Kabla ulikuwa unafanya busness gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…