Natamani namiliki Nissan Dualis pamoja na vitisho vyooote kwamba ntateseka kununua gari nje ya Toyota.Kama title inavojieleza,naomba yafuatayo:
1. Anayejua anielekeze wapi kuna garage ambako wamebobea kwenye aina hii ya gari.Namaanisha yenye mafundi ambao hawabahatishi.
2.Pili info za wapi zinapatikana spare zake kwa hapa Dar zitanifaa sana.
3.Inasemekana hizi gari ulizembea service lazima ikuzingue,kama kuna mtu ana experience zaidi si vibaya akashare nami.
Nawakilisha
Sent using Jamii Forums mobile app