.....
2.Pili info za wapi zinapatikana spare zake kwa hapa Dar zitanifaa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iv Nissan hawana brunch tz kama toyota?
Nb; kununua nyumba ata kabla hujaamia unamtafuta fundi basi kuna tatizo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio branch yao ipo vingungut plot no 5Iv Nissan hawana brunch tz kama toyota?
Nb; kununua nyumba ata kabla hujaamia unamtafuta fundi basi kuna tatizo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna garage special kwa ajili ya gari Fulani tu?
Kama ni hivyo basi nadhani pia kutakuwa na garage special kwa ajili ya ist tu peke yake
Okay sasa hebu nioneshe gereji special kwa ajili ya Nissan dualis au QashQaiUpo serious kabisa unauliza hili swali?Kuna gari ambazo ni nyingi hapa mjini,mafundi wengi wanazimudu.Mi nimeishi na Toyota IST miaka 5.Sijawahi peleka Toyota wala garage yeyote serious,na kila shida ilikuwa inatatuliwa vzr tu na mafundi wa kawaida kitaa.Ila huwez ukanambia umenunua Tourage au sijui Audi halafu unaipeleka tu mafundi wa mtaani,anaweza akajifunzia kwenye gari yako and I don't think you can take that risk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay sasa hebu nioneshe gereji special kwa ajili ya Nissan dualis au QashQai
Master Card wana spea original za Nissan, lakini sio bei rahisi. Lakini pia inategemea na neno 'bei rahisi' kwako ni shs ngapi.Upande wa spare parts jaribu kucheki na Master Card Tanzania Ltd www.mastercard-tz.com/genuine.html. nilikua nanunua spare za Nissan Xtrail kwao na bei zao ni nafuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu fundi alikuwa anafanya kazi pale nissan, banda la ngozi, kabla ya kufungua garage yake mitaa ya KKKT kigogo.Hatimaye nimejipata namiliki Nissan Dualis pamoja na vitisho vyooote kwamba ntateseka kununua gari nje ya Toyota.Kama title inavojieleza,naomba yafuatayo:
1. Anayejua anielekeze wapi kuna garage ambako wamebobea kwenye aina hii ya gari.Namaanisha yenye mafundi ambao hawabahatishi.
2.Pili info za wapi zinapatikana spare zake kwa hapa Dar zitanifaa sana.
3.Inasemekana hizi gari ulizembea service lazima ikuzingue,kama kuna mtu ana experience zaidi si vibaya akashare nami.
Nawakilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu fundi alikuwa anafanya kazi pale nissan, banda la ngozi, kabla ya kufungua garage yake mitaa ya KKKT kigogo.
Kwa kweli yupo vizuri sema ana bei kubwa ya labour charge. Huwa anafahamu kila spea inapopatikana, lakini niliona kama anakula cha juu. Kikubwa nenda wewe mwenyewe kununua spea.
0755 109 405
Sent using Jamii Forums mobile app
Brunch????👁️👁️Iv Nissan hawana brunch tz kama toyota?
Nb; kununua nyumba ata kabla hujaamia unamtafuta fundi basi kuna tatizo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote bei ya kifaa genuine ni ghali na hii inakuja kutokana na kasumba ya kuzoea vitu vya mchina hivyo hata ukitajiwa kifaa laki 2 na wewe umezoea cha mchina elf 50 still bado utasema ghali lakn kumbuka genuine inaweza kukaa zaidi ya miaka 5 na mchina akakaa kwa mwaka na ukabadili kila mwaka? Je ipi yenye faida kuweka genuine au mchina?Master Card wana spea original za Nissan, lakini sio bei rahisi. Lakini pia inategemea na neno 'bei rahisi' kwako ni shs ngapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote bei ya kifaa genuine ni ghali na hii inakuja kutokana na kasumba ya kuzoea vitu vya mchina hivyo hata ukitajiwa kifaa laki 2 na wewe umezoea cha mchina elf 50 still bado utasema ghali lakn kumbuka genuine inaweza kukaa zaidi ya miaka 5 na mchina akakaa kwa mwaka na ukabadili kila mwaka? Je ipi yenye faida kuweka genuine au mchina?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimaye nimejipata namiliki Nissan Dualis pamoja na vitisho vyooote kwamba ntateseka kununua gari nje ya Toyota.Kama title inavojieleza,naomba yafuatayo:
1. Anayejua anielekeze wapi kuna garage ambako wamebobea kwenye aina hii ya gari.Namaanisha yenye mafundi ambao hawabahatishi.
2.Pili info za wapi zinapatikana spare zake kwa hapa Dar zitanifaa sana.
3.Inasemekana hizi gari ulizembea service lazima ikuzingue,kama kuna mtu ana experience zaidi si vibaya akashare nami.
Nawakilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Brunch????[emoji2539][emoji2539]
Brunch is a combination of breakfast and lunch, and regularly has some form of alcoholic drink served with it. The word is a portmanteau of breakfast and lunch