Naomba kujua gharama ya fiting ya maji na umeme

chidy said

Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
64
Reaction score
123
Habari Wanajukwaa,

Naomba kujuwa gharama kufanya fiting ya maji na umeme ya nyumba ya vyumba saba master 2 na publick toilet 2.

Naomba kuwasilisha
 
Kwa fittings za maji mcheki huyu
+255769140601.

Niliweka nae fittings kwa 400k vifaa na 200k Ufundi.
Hapa ni pipes na connectors tu. Sijui koki, sinki, basins hazipo hapa.
 
Habari Wanajukwaa,

Naomba kujuwa gharama kufanya fiting ya maji na umeme ya nyumba ya vyumba saba master 2 na publick toilet 2.

Naomba kuwasilisha
Kuhusu umeme, lazima useme nyumba yako unataka iwe na vitu gani, mfano, AC, feni, Pump ya maji, extractor fans, etc.
 
Huwezi kusema tu unahitaji gharama za fittings wakati hatujui ukubwa wa nyumba, vitu gani unahitaji kwenye nyumba yako, mfano heater, ac, nk hatujui unahitaji taa, socket nk ngapi kwa kila chumba. Lakini pia quality ya vifaa unavyotaka kutumia.

Haya mambo yanahitaji either michoro au site visit ili upate unachohitaji.
 
Site visit ndio kila kitu...
 
Back
Top Bottom