chidy said
Member
- Oct 20, 2019
- 64
- 123
Kwa fittings za maji mcheki huyuHabari Wanajukwaa,
Naomba kujuwa gharama kufanya fiting ya maji na umeme ya nyumba ya vyumba saba master 2 na publick toilet 2.
Naomba kuwasilisha
Kuhusu umeme, lazima useme nyumba yako unataka iwe na vitu gani, mfano, AC, feni, Pump ya maji, extractor fans, etc.Habari Wanajukwaa,
Naomba kujuwa gharama kufanya fiting ya maji na umeme ya nyumba ya vyumba saba master 2 na publick toilet 2.
Naomba kuwasilisha
Site visit ndio kila kitu...Huwezi kusema tu unahitaji gharama za fittings wakati hatujui ukubwa wa nyumba, vitu gani unahitaji kwenye nyumba yako, mfano heater, ac, nk hatujui unahitaji taa, socket nk ngapi kwa kila chumba. Lakini pia quality ya vifaa unavyotaka kutumia.
Haya mambo yanahitaji either michoro au site visit ili upate unachohitaji.
Yes, ndiyo kila kitu, lakini kwa gharama za nani? It has to be clear mapema..!!Site visit ndio kila kitu...
Site visit ni unalipa mteja, sababu anatumia muda wake na unaweza ukaita na wengine pia kisha yeye usimpe kazi.Yes, ndiyo kila kitu, lakini kwa gharama za nani? It has to be clear mapema..!!
Nusu ufundi una maanisha nini mkuu?Kwa dar material hatua ya kwanza laki sita na nusu ufundi laki nne
MajiNusu ufundi una maanisha nini mkuu?
Material ya hiyo kazi ya plumbing yata gharimu laki sita na nusu kwa awamu ya kwanzaNusu ufundi una maanisha nini mkuu?