Naomba kujua gharama za ada Chuo Kikuu Huria

Naomba kujua gharama za ada Chuo Kikuu Huria

Joined
Sep 30, 2014
Posts
95
Reaction score
47
Wadau, nataka kuomba kujiunga na Masters of HR pale chuo kikuu Huria, naomba kujua jinsi wanavyotoza gharama kwa hizo unit zao, na kiasi gani (minimum) ambacho mtu anatakiwa kulipa kwenye fees ili aweze kupokelewa na kuanza masomo.

Natanguliza shukrani
 
Mpigie huyu +255 784 443 157 ni mwalimu chuo kikuu huria, atakupa mrejesho wa jambo lako.
 
Siyo sahihi kuweka namba ya mtu mtandaoni hadharani hivi bila rukhsa yake. Hata wewe mwenyewe usingependa namba yako kuwekwa hovyo mtandaoni humu. Ungempa hii namba PM...
Sawa mkuu ila mbona hizi zipo ata katika prospectus ya chuo??
 
Back
Top Bottom