mfalmeselemani
Member
- Sep 30, 2014
- 95
- 47
Mpigie huyu +255 784 443 157 ni mwalimu chuo kikuu huria, atakupa mrejesho wa jambo lako.Wadau, nataka kuomba kujiunga na Masters of HR pale chuo kikuu Huria, naomba kujua jinsi wanavyotoza gharama kwa hizo unit zao, na kiasi gani (minimum) ambacho mtu anatakiwa kulipa kwenye fees ili aweze kupokelewa na kuanza masomo.
Natanguliza shukrani
Ukiwa hujampata huyo, sema hapa upewe nyengine..Mpigie huyu +255 784 443 157 ni mwalimu chuo kikuu huria, atakupa mrejesho wa jambo lako.
Ukiwa hujampata huyo, sema hapa upewe nyengine..
Wish you the best
Huyo anampata, ni mwalimu yupo kinondoni centre, muda wowote yupo hewani. Ikitokea kamkosea atapewa zingine.
Tuko pamoja mkuu.
asante sana mkuuMpigie huyu +255 784 443 157 ni mwalimu chuo kikuu huria, atakupa mrejesho wa jambo lako.
asante sana mkuu nimeipata naendelea kuipitiadownload prospectus yao in kila kitu
one love mkuu nashukuru sana sanaHuyo anampata, ni mwalimu yupo kinondoni centre, muda wowote yupo hewani. Ikitokea kamkosea atapewa zingine.
Tuko pamoja mkuu.
Siyo sahihi kuweka namba ya mtu mtandaoni hadharani hivi bila rukhsa yake. Hata wewe mwenyewe usingependa namba yako kuwekwa hovyo mtandaoni humu. Ungempa hii namba PM...Mpigie huyu +255 784 443 157 ni mwalimu chuo kikuu huria, atakupa mrejesho wa jambo lako.
Sawa mkuu ila mbona hizi zipo ata katika prospectus ya chuo??Siyo sahihi kuweka namba ya mtu mtandaoni hadharani hivi bila rukhsa yake. Hata wewe mwenyewe usingependa namba yako kuwekwa hovyo mtandaoni humu. Ungempa hii namba PM...
Pamoja mkuuone love mkuu nashukuru sana sana
Ada ni kiasi gani?Nasoma hiyo course MHRM nitafute ntakupa namba ya dean
Units 18 kwa kiasi cha shilingi 180,000, unpata kama 3, 400, 000/=Ada ni kiasi gani?