Naomba kujua gharama za kuclear gari ya namna hii wadau

isley

Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
48
Reaction score
83
2006 TOYOTA PREMIO

Reg.Year / Month 2006
Fuel Type PETROL
Engine Size 1,490cc
Transmission Type AT
Drive Type 2WD
Doors 4
No. of Seats 5
Colour SILVER

Air Conditioning
Power Steering
Power Windows
ABS
Air Bag
Power Mirrors
Central Locking
CD Player

Special Winter Price $3726 CIF to Dar Port

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina shida kama yako. Katika kusearch uzi nimekutana na huu wako.

Unavosubiri majibu ya wadau pitia HAPA

cc KIMOMWEMOTORS

Pia ni vema ukipitia CALCULATOR YA TRA ujaze taarifa za gari yako atleast ujue gharama za ushuru utakazo lipia.
Shukrani kwa ujumbe huu boss.

Kwa mujibu wa system ya TRA kodi ya gari hiyo ni 7,365,000 iwapo CIF Value itakua $2964. Kwa hii gari yako yenye zaidi ya CIF $3000 TRA watakukadiria kodi kwa kuangalia hii CIF value yako ya dola 3000+ ambayo jibu lake litakuja juu zaidi ya hiyo 7,365,000.

Kutokana na uzoefu wetu kama waagizaji na ambao pia hua tunaclear mizigo bandarini, iwapo clearing agent utakakayempa kazi ya kukutolea mzigo atakua makini na kazi yake atahakikusha unalipa ushuru uliopo kwenye System kama ulivyoona wakati unaagiza gari gari hiyo.

Gharama za bandari kama vile Wharfage, Port Charges, Shipping Line, Agent Fee na Plate Number mara nyingi zinatofautiana baina ya Agent na Agent ambazo huanzia kati ya 800,000 mpaka 1,000,000.

Hitimisho ni kua iwapo ushuru utabaki kua 7,365,000 ukijumlisha na 1,000,000 ya gharama nyinginezo za Bandari unatakiwa uwe na jumla ya Tsh 8,365,000. Tahadhari ni kua unatakiwa kua makini unapochagua kampuni ya kukufanyia clearance kwa kua userious katika kazi pia unatofautiana. Iwapo Agent atafanya error yoyote utatakiwa kulipa faini au malipo ya ziada na kujikuta unaingia hasara. Ndio maana wengi hukimbilia Kimomwe Motors kwa kua tukishaandikishana kwenye mkataba, mteja hatakuja kudaiwa hata 100 kwa uzembe tutakaofanya sisi wenyewe, badala yake atasubiri akabidhiwe gari ikiwa imetimia kila kitu kama mkataba unavyosema
 
2006 TOYOTA PREMIO

Reg.Year / Month 2006
Fuel Type PETROL
Engine Size 1,490cc
Transmission Type AT
Drive Type 2WD
Doors 4
No. of Seats 5
Colour SILVER

Air Conditioning
Power Steering
Power Windows
ABS
Air Bag
Power Mirrors
Central Locking
CD Player

Special Winter Price $3726 CIF to Dar Port

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa system ya TRA kodi ya gari hiyo ni 7,365,000 iwapo CIF Value itakua $2964. Kwa hii gari yako yenye zaidi ya CIF $3000 TRA watakukadiria kodi kwa kuangalia hii CIF value yako ya dola 3000+ ambayo jibu lake litakuja juu zaidi ya hiyo 7,365,000.

Kutokana na uzoefu wetu kama waagizaji na ambao pia hua tunaclear mizigo bandarini, iwapo clearing agent utakakayempa kazi ya kukutolea mzigo atakua makini na kazi yake atahakikusha unalipa ushuru uliopo kwenye System kama ulivyoona wakati unaagiza gari gari hiyo.

Gharama za bandari kama vile Wharfage, Port Charges, Shipping Line, Agent Fee na Plate Number mara nyingi zinatofautiana baina ya Agent na Agent ambazo huanzia kati ya 800,000 mpaka 1,000,000.

Hitimisho ni kua iwapo ushuru utabaki kua 7,365,000 ukijumlisha na 1,000,000 ya gharama nyinginezo za Bandari unatakiwa uwe na jumla ya Tsh 8,365,000. Tahadhari ni kua unatakiwa kua makini unapochagua kampuni ya kukufanyia clearance kwa kua userious katika kazi pia unatofautiana. Iwapo Agent atafanya error yoyote utatakiwa kulipa faini au malipo ya ziada na kujikuta unaingia hasara. Ndio maana wengi hukimbilia Kimomwe Motors kwa kua tukishaandikishana kwenye mkataba, mteja hatakuja kudaiwa hata 100 kwa uzembe tutakaofanya sisi wenyewe, badala yake atasubiri akabidhiwe gari ikiwa imetimia kila kitu kama mkataba unavyosema
 
Lazima agents wakupige kama kamilioni hivi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio sahihi kumuaminisha mwingine hiki unachokiamini. Vizuri ungeelezea Agent anapigaje hiyo milioni wakati hesabu zote ziko wazi siku hizi. TRA ushuru ni kwenye System, Gharama za bandari akitaka anaweza kuzilipia mwenyewe....hiyo milioni atapigwaje!!!
 
Kwa mujibu wa system ya TRA kodi ya gari hiyo ni 7,365,000 iwapo CIF Value itakua $2964. Kwa hii gari yako yenye zaidi ya CIF $3000 TRA watakukadiria kodi kwa kuangalia hii CIF value yako ya dola 3000+ ambayo jibu lake litakuja juu zaidi ya hiyo 7,365,000.

Kutokana na uzoefu wetu kama waagizaji na ambao pia hua tunaclear mizigo bandarini, iwapo clearing agent utakakayempa kazi ya kukutolea mzigo atakua makini na kazi yake atahakikusha unalipa ushuru uliopo kwenye System kama ulivyoona wakati unaagiza gari gari hiyo.

Gharama za bandari kama vile Wharfage, Port Charges, Shipping Line, Agent Fee na Plate Number mara nyingi zinatofautiana baina ya Agent na Agent ambazo huanzia kati ya 800,000 mpaka 1,000,000.

Hitimisho ni kua iwapo ushuru utabaki kua 7,365,000 ukijumlisha na 1,000,000 ya gharama nyinginezo za Bandari unatakiwa uwe na jumla ya Tsh 8,365,000. Tahadhari ni kua unatakiwa kua makini unapochagua kampuni ya kukufanyia clearance kwa kua userious katika kazi pia unatofautiana. Iwapo Agent atafanya error yoyote utatakiwa kulipa faini au malipo ya ziada na kujikuta unaingia hasara. Ndio maana wengi hukimbilia Kimomwe Motors kwa kua tukishaandikishana kwenye mkataba, mteja hatakuja kudaiwa hata 100 kwa uzembe tutakaofanya sisi wenyewe, badala yake atasubiri akabidhiwe gari ikiwa imetimia kila kitu kama mkataba unavyosema
Nimependa maelezo yako mazuri naomba kujua au unipe makisio nikiagiza Na kuipata mkonono moja kwa moja ukiweka Na dharura kama za dola angalau isipungue ngap mana kiukwel najichanga mwakani niweze kupata usafiri bora miez ya mbeleni huenda ukaja nisaidia. Asante sana sana

Karibu sana. Kwa sasa hizo gari za 2006 na 2005 hugharim jumla ya Tsh 14.5 iwapo tutakuagizia sisi kwa kua tutakutafutia kutoka kampuni washirika zaidi ya 15 ambayo itakua na millage chache na gharama chini pia. Ukipigia hesabu hiyo uliyosema ya dola 3700+ jumla itakugharim 16m+

Zile za 2003-2004 mara nyingi zinagharim 11.8m mpaka 13m kutegemea na ubora na kilomita
 
Hivi ni kwanini hawa TPA wasiwe na portal kama ilivyo TRA unaingiza invoice value ya gari husika unakua unajua kitakachokukuta unabakisha kwa clearing agent hio 250,000
 
Pitia hapo ingiza particular za gari lako hapo utaweka na agency fee
Screenshot_20191213-195717.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom