Shukrani kwa ujumbe huu boss.Nina shida kama yako. Katika kusearch uzi nimekutana na huu wako.
Unavosubiri majibu ya wadau pitia HAPA
cc KIMOMWEMOTORS
Pia ni vema ukipitia CALCULATOR YA TRA ujaze taarifa za gari yako atleast ujue gharama za ushuru utakazo lipia.
Kwa mujibu wa system ya TRA kodi ya gari hiyo ni 7,365,000 iwapo CIF Value itakua $2964. Kwa hii gari yako yenye zaidi ya CIF $3000 TRA watakukadiria kodi kwa kuangalia hii CIF value yako ya dola 3000+ ambayo jibu lake litakuja juu zaidi ya hiyo 7,365,000.2006 TOYOTA PREMIO
Reg.Year / Month 2006
Fuel Type PETROL
Engine Size 1,490cc
Transmission Type AT
Drive Type 2WD
Doors 4
No. of Seats 5
Colour SILVER
Air Conditioning
Power Steering
Power Windows
ABS
Air Bag
Power Mirrors
Central Locking
CD Player
Special Winter Price $3726 CIF to Dar Port
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa maelezo yako mazuri naomba kujua au unipe makisio nikiagiza Na kuipata mkonono moja kwa moja ukiweka Na dharura kama za dola angalau isipungue ngap mana kiukwel najichanga mwakani niweze kupata usafiri bora miez ya mbeleni huenda ukaja nisaidia. Asante sana sanaKwa mujibu wa system ya TRA kodi ya gari hiyo ni 7,365,000 iwapo CIF Value itakua $2964. Kwa hii gari yako yenye zaidi ya CIF $3000 TRA watakukadiria kodi kwa kuangalia hii CIF value yako ya dola 3000+ ambayo jibu lake litakuja juu zaidi ya hiyo 7,365,000.
Kutokana na uzoefu wetu kama waagizaji na ambao pia hua tunaclear mizigo bandarini, iwapo clearing agent utakakayempa kazi ya kukutolea mzigo atakua makini na kazi yake atahakikusha unalipa ushuru uliopo kwenye System kama ulivyoona wakati unaagiza gari gari hiyo.
Gharama za bandari kama vile Wharfage, Port Charges, Shipping Line, Agent Fee na Plate Number mara nyingi zinatofautiana baina ya Agent na Agent ambazo huanzia kati ya 800,000 mpaka 1,000,000.
Hitimisho ni kua iwapo ushuru utabaki kua 7,365,000 ukijumlisha na 1,000,000 ya gharama nyinginezo za Bandari unatakiwa uwe na jumla ya Tsh 8,365,000. Tahadhari ni kua unatakiwa kua makini unapochagua kampuni ya kukufanyia clearance kwa kua userious katika kazi pia unatofautiana. Iwapo Agent atafanya error yoyote utatakiwa kulipa faini au malipo ya ziada na kujikuta unaingia hasara. Ndio maana wengi hukimbilia Kimomwe Motors kwa kua tukishaandikishana kwenye mkataba, mteja hatakuja kudaiwa hata 100 kwa uzembe tutakaofanya sisi wenyewe, badala yake atasubiri akabidhiwe gari ikiwa imetimia kila kitu kama mkataba unavyosema
Karibu sana. Kwa sasa hizo gari za 2006 na 2005 hugharim jumla ya Tsh 14.5 iwapo tutakuagizia sisi kwa kua tutakutafutia kutoka kampuni washirika zaidi ya 15 ambayo itakua na millage chache na gharama chini pia. Ukipigia hesabu hiyo uliyosema ya dola 3700+ jumla itakugharim 16m+Nimependa maelezo yako mazuri naomba kujua au unipe makisio nikiagiza Na kuipata mkonono moja kwa moja ukiweka Na dharura kama za dola angalau isipungue ngap mana kiukwel najichanga mwakani niweze kupata usafiri bora miez ya mbeleni huenda ukaja nisaidia. Asante sana sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Pitia hapo ingiza particular za gari lako hapo utaweka na agency feeView attachment 1291507
Sent using Jamii Forums mobile app