Naomba kujua Gharama za kumlipa Mfamasia kwa kwezi, Nataka kufungua Famasi

Naomba kujua Gharama za kumlipa Mfamasia kwa kwezi, Nataka kufungua Famasi

johbizzy

Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
73
Reaction score
52
Wakuu habari za mida?

Mzee wangu anataka kufungua pharmacy tulikuwa tuna omba kujua utaribu wa kufungua pharmacy ! Pia gharama za kumlipa pharmasia kwa mwezi kwajili ya kuweka leseni yake dukani my no 0719656063
 
Pharmacy zina cost za ajabu ajabu kama hizo za mfamasia,ndo mana dawa zinauzwa bei juu.
Andaa 800k mpka 1M kwa mwezi

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mwezi leseni yake sio chini ya M 1 hamna hamna weka 800k then mshahara wake nao cheza humo humo kwa kwezi 750k - 1 M tena NET

So on average cheza kwa 1.5 - 2M
 
Huwaga wanalipwa milioni 1 mpaka 2mil kwa mwezi na hakuna hasara utapata kama umefungua pharmacy kweli na siyo duka la dawa.
 
Back
Top Bottom