Naomba kujua gharama za kusafirisha gari kutoka Zanzibar kwenda Dar

Naomba kujua gharama za kusafirisha gari kutoka Zanzibar kwenda Dar

Abdull hameed

New Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
4
Reaction score
1
Habari ndugu zangu na kaka zangu naomba nahitaji kusafirisha gari kutoka Zanzibar nahitaji agent ambaye ataisimamia gari hadi inapata usajili na number kabisa
 
Back
Top Bottom