Naomba kujua gharama za kuskimm chumba kimoja kwa ndani

Bayou98

Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
64
Reaction score
88
Habari za muda ndugu zangu natumai mnaendelea vzr katika kupigania pato la taifa

Naomba kujua gharama za kuskimm chumba kimoja tu kwa ndani...tafadhar nataka niandae bajet yng,,natanguliza shukran za dhat kwa kila atakaejitokeza kunielewesha...Nawasilisha kwenu[emoji120]
 
Juzi wamenikomalia chumba kimoja 70000 nikashuka naye hadi laki mbili na ishirini maana nilimpa nyumba yote na kufunga gypsum vyumba 2 na choo na valanda, sema plasta nilitumia mchanga wa mtoni sijachanganya na kibaha so white cement imekula sana kuja kushtuka fundi akasema nunua rangi ya maji lita 10 na cement mfuko 1 basi akamalizia chumba kimoja na kopro madirisha 8 na bado rangi imebaki na cement pia, ukipata fundi mzuri nunua rangi na cement itakaa poa kuliko white cement mfuko mmoja 23000 mimi nilitumia mifuko saba na haijatoboza
 
Acha kumpotosha mwenzio,nyie ndio wale ilimradi ukuta uwe mweupe.
Yaani emulsion Lita 10 na white cement moja imelize chumba kimoja na isitoshe bado imebaki?.mko vizuri na fundi wako
 
Juzi wamenikomalia chumba kimoja 70000 nikashuka naye hadi laki mbili na ishirini maana nilimpa nyumba yote na kufunga gypsum vyumba 2 na choo na valanda, sema plasta nilitumia mchanga wa mtoni sijachanganya na kibaha so white cement imekula sana kuja kushtuka fundi akasema nunua rangi ya maji lita 10 na cement mfuko 1 basi akamalizia chumba kimoja na kopro madirisha 8 na bado rangi imebaki na cement pia, ukipata fundi mzuri nunua rangi na cement itakaa poa kuliko white cement mfuko mmoja 23000 mimi nilitumia mifuko saba na haijatoboza
Acha uongo! Tatizo lenu ni Waongo sana kutwa kufanganyana! Ndoo moja ya Rangi white na mfuko mmoja wa cement umepaja chumba kimoja na imebaki??? Kwanza hiyo sio kaz ni uchafu!
 
Juzi wamenikomalia chumba kimoja 70000 nikashuka naye hadi laki mbili na ishirini maana nilimpa nyumba yote na kufunga gypsum vyumba 2 na choo na valanda, sema plasta nilitumia mchanga wa mtoni sijachanganya na kibaha so white cement imekula sana kuja kushtuka fundi akasema nunua rangi ya maji lita 10 na cement mfuko 1 basi akamalizia chumba kimoja na kopro madirisha 8 na bado rangi imebaki na cement pia, ukipata fundi mzuri nunua rangi na cement itakaa poa kuliko white cement mfuko mmoja 23000 mimi nilitumia mifuko saba na haijatoboza
Nilidhani ujenzi kumbe nivitu vingine hapo sijui
 
Habari za muda ndugu zangu natumai mnaendelea vzr katika kupigania pato la taifa

Naomba kujua gharama za kuskimm chumba kimoja tu kwa ndani...tafadhar nataka niandae bajet yng,,natanguliza shukran za dhat kwa kila atakaejitokeza kunielewesha...Nawasilisha kwenu[emoji120]
Chumba kimoja kama unaskim Ukuta na body utagharamia Tsh 70000 kama unaskim ukuta pekee utagharamia elfu 50
 
#Kelv

Hizo hapa #showcase kali kabisa kwa Laki 5 tu za kitanzania nakukabidhi hapo Seblen kwako!

Natumia mbao, misumari, body na screw na wallput

Karibu tukuhudumie!.....Kwa laki 5 unaipata hii kila kitu kwangu kwa Dsm...mikoani nipigie tuongee...0789005562 au wasap Wa.me/255789005562

#ujenzieatv #ujenzizone #choobora #kelv #finishingtouches #ujenzidsm #ujenzizanzibar #ujenzitz #ujenziwanyumbaboratz #finishingmaster #TvWall #tvwallinstallation #tvwalldesign #tvshow

By

Kelvin Hk
status_me_status_IMG-20230201-WA0037.jpg
status_me_status_IMG-20230201-WA0038.jpg
status_me_status_IMG-20230201-WA0035.jpg
 
Back
Top Bottom