Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Jul 17, 2023 #1 Heshima kwenu wote! Naomba kujua gharama za kutangaza (tangazo dogo) kwenye gazeti la Serikali kama mahakama ulivyotaka. Gharama zipo na kiasi gani? Nani anayepokea tangazo naomba mawasiliano yake/yao. Asanteni sana.
Heshima kwenu wote! Naomba kujua gharama za kutangaza (tangazo dogo) kwenye gazeti la Serikali kama mahakama ulivyotaka. Gharama zipo na kiasi gani? Nani anayepokea tangazo naomba mawasiliano yake/yao. Asanteni sana.
Rufiji dam JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 4,107 Reaction score 9,671 Jul 17, 2023 #2 Ulongupanjala said: Heshima kwenu wote! Naomba kujua gharama za kutangaza (tangazo dogo) kwenye gazeti la Serikali kama mahakama ulivyotaka. Gharama zipo na kiasi gani? Nani anayepokea tangazo naomba mawasiliano yake/yao. Asanteni sana. Click to expand... Tshs 65,000 ama 100,000.
Ulongupanjala said: Heshima kwenu wote! Naomba kujua gharama za kutangaza (tangazo dogo) kwenye gazeti la Serikali kama mahakama ulivyotaka. Gharama zipo na kiasi gani? Nani anayepokea tangazo naomba mawasiliano yake/yao. Asanteni sana. Click to expand... Tshs 65,000 ama 100,000.
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Jul 17, 2023 Thread starter #3 Rufiji dam said: Tshs 65,000 ama 100,000. Click to expand... Naomba mawasiliano yao tafadhali. Asante.
Rufiji dam said: Tshs 65,000 ama 100,000. Click to expand... Naomba mawasiliano yao tafadhali. Asante.