Naomba kujua gharama za pikipiki ya maringi 3 (Bajaji) aina ya TVS

Naomba kujua gharama za pikipiki ya maringi 3 (Bajaji) aina ya TVS

shauwkan

Member
Joined
May 16, 2018
Posts
28
Reaction score
10
Habari wakuu,

Naomba msaada, kwa anayefahamu gharama za ununuzi wa Bajaji mpya aina ya TVS (Dar es Salaam)

1. Bei ya Bajaji
2. Bima
3. Leseni ya Barabarani

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andaa mil 7900000 inaingia barabaran na kuanza kula 20 kila siku baada ya miezi minne hadi 6 unaanza kula 15 kila siku
Milioni 7900000 kwa ajili ya bajaji ngapi? Hivi tuna tatizo la uandishi kwa kiwango hiki?
 
Milioni 7900000 kwa ajili ya bajaji ngapi? Hivi tuna tatizo la uandishi wa kwa kiwango hiki?
Ukiona mtu anaandika idadi ya fedha zaidi ya 999 bila kutenganisha na koma, jua mahesabu kwake yamempiga chenga!

7900000 7,900,000
 
Milioni 7900000 kwa ajili ya bajaji ngapi? Hivi tuna tatizo la uandishi kwa kiwango hiki?
Mzeee hiyi huoni km ni mil 7 na laki tisa????umeshindwa hata ku reflect na thamani ya kitu husika
 
Mzeee hiyi huoni km ni mil 7 na laki tisa????umeshindwa hata ku reflect na thamani ya kitu husika
Kwa uelewa wako hapo umeandika mil 7 na laki tisa?
Yan ni sawa na kusema elfu 1,000. Ni sawa?
 
Back
Top Bottom