Naomba kujua gharama za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu

Naomba kujua gharama za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu

The MDL

New Member
Joined
Feb 22, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Habari wanandugu, kwa mafundi naomba kujua gharama zao za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu.
 
Mkuu kumbuka gharama halisi pia zinaendana na eneo la ujenzi..zinatofautiana kutokana na kiwanja kilivyo kama tambarare au kuna muinuko au udongo mfinyanzi au tifutifu...eneo kame au lina maji maji..hivyo tafuta fundi uende nae site ndo atakuchorea gharama.
 
Nyumba viwili vya ukubwa gani, bila ramani ni kazi bure
Mmmmm, una mvunja moyo mwenzetu, mbona wengi tumewajengea bila ramani na mapungufu hayapo.

Kuwepo kwa ramani sio kigezo cha kupata hesabu kamili, fundi anaweza akapotea richa ya kuwa na ramani mkononi. Kinacho mata hapa ni kumpata fundi mtaalam na mzoefu.

UVIMO hizo kazi zetu.

Utapigiwa hesabu za mahitaji hadi unapotaka hadi makadirio ya Gharama ya kila hitaji.

Mawasiliano
0753927572-Whatsapp
0753961896- Kupiga
0629361896- Kupiga

Asante.
 
Habari wanandugu, kwa mafundi naomba kujua gharama zao za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu.
Karibu UVIMO kiu yako itakata.

Tuna chora ramani xa majengo
Tuna doma ramani /kufanya tathimini
Tunajenga
Umeme
Bomba/plumbing
Finishing zote
Urembo
Kuchimba mashimo ya maji Safi na taka
N.K


Mawasiliano
0753927572-Whatsapp
0753961896- Kupiga
0629361896- Kupiga
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla:-
2*2 fut12=2500
2*3 fut 12=3500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=14000
1*10fut 12 fisher board( treated)=15000
2*4 fut18(treated)=10000
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Back
Top Bottom