Naomba kujua hatua za biashara ya kupeleka nafaka Zanzibar

Bora ukutane na mzenji mwenyewe muuzie hapo hapo. zaidi ya hapo utaishia kuzimia tu.

Hawa bwana wanataka wakauze wenyewe sio wewe
 
Zanzibar wapo busy na urojo wewe unapeka nafaka!?[emoji276]kweli Dunia ina maajabu mengi
 
Views 365 na comment ni 12 tu, sio ubinafsi kweli!!!? Watu wote 365 hakuna hata m1 wa kuleta details!? Tumekaaga tu tunasubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…