Naomba kujua hatua za kufuata ili kupata mkopo wa biashara katika Benki ya NMB

muta ngegi

Senior Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
167
Reaction score
129
Habarini Wanajf!
Bila kupoteza muda naomba mwenye uelewa wa hatua za kufuata ili kupata mkopo wa biashara katika Benki ya NMB.Mimi ni mjasiriamali,ninataka nikope ili niongeze Mtaji.Msaada wenu tafadhali.
 
Mboga unapeleka kibaha ugali unataka ukale kisarawe???

Mkuu nenda NMB kaonane na maafisa mikopo utapata majibu hapo hapo tena kwa kina na uweledi.
Kama huwezi kwenda bank ingia kwenye tovuti yao wapigie simu watakupa maelekezo
 
Poa poa Mkuu!
 
Back
Top Bottom