Habarini Wanajf!
Bila kupoteza muda naomba mwenye uelewa wa hatua za kufuata ili kupata mkopo wa biashara katika Benki ya NMB.Mimi ni mjasiriamali,ninataka nikope ili niongeze Mtaji.Msaada wenu tafadhali.
Mkuu nenda NMB kaonane na maafisa mikopo utapata majibu hapo hapo tena kwa kina na uweledi.
Kama huwezi kwenda bank ingia kwenye tovuti yao wapigie simu watakupa maelekezo