Naomba kujua hatua za kufuata ili kuuza gesi ya majumbani

Golden Trust

Member
Joined
Jan 21, 2023
Posts
33
Reaction score
44
Habari zenu wana jamii forums,

Samahanini nina ombi la kutaka kufahamu uuzaji wa gesi za majumbani au kuwa wakala wa gesi mfano orxy taratibu zipoje? Nianzie wapi mpaka niweze kufanya pia inahitaji mtaji wa shilling ngap?[emoji120]

Natanguliza shukran zangu
 
Naona uzi umekosa majibu, hebu CONTROLA njoo umpe kijana majibu yake.
 
Taratibu za kiserikali kama zilivyobiashara zingine lazima uwe na lesen, ulipe Kodi TRA ,

Kwenye Gesi kuna vitu vinaongezeka
1.fire extinguisher
2.cheti cha zimamoto
3.Mzani WA kupimia uzito
4.Kama NI wakala mkuu (super agent) uwe na lesen ya EWURA

BAADA YA HAPO NENDA KWA MAAFISA MASOKO YA KAMPUN ZA GESI KILA MKOA KUNA AFISA MASOKO WAO UTAPEWA UTARATBU WA kuwa wakala wao

MIHANI/TAIFA mtaji wanarecommend 500k +
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…