Naomba kujua hatua za kufuzu kucheza ligi kuu Tanzania

ELNEY

Senior Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
106
Reaction score
48
Habari wana jukwaa la michezo ..
Mimi sio mdau sana wa masuala ya michezo
Kwa undani ila kuna jambo moja naomba kulijua kuwa kwa mfano club tangu kuanzishwa mpaka kufikia kucheza VPL hatua gani wanapitia yaani kuanzia daraja la nne ,tatu ,pili la kwanza na ligi kuu hapa ndipo sipaelewi

Mwenye uelewa naomba anieleze nami nijue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…