Sijawahi nunua but huwa nafuatilia kiasi chake. Bonds za serikali unaweza kuzinunua kupitia mawakala wanaotambuliwa na BOT.
Bank kama NBC na CRDB ni miongoni mwa mawakala. Wapo pia mawakala binafsi. Ili kukununulia, wakala itabidi atoe offer ya kwamba atainunua kiasi gani shilling 100 ya serikali?
Kama offer yako ni sawa, basi utakuwa umeshinda zabuni. Crudely, that's what I know. Wataalamu wataongeza