wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,216
Utanipitia
Beba passport, covid vaccine certificate na yellow fever vaccine proof. Zaidi ya hivyo hamna kingine zaidi ya kujikimu ukiwa huko.Mimi ni mtanzania nataman Na mimi niende nchi jirani kuchek mazingira
Naomba kujua hatua za kufuata mpk niende Au Ndio tunaenda tuu kama kkoo
Sio lazima, utakata kibali Cha muda na upime homa ya manjano ( yellow fever) au kama vipi unaweza kupimia hapo mpakani Cha msingi uwe na cheti chakeKama Mbagala tu. Na hakuna kuulizwa kitu. But uwe na passport
Sio lazima, utakata kibali Cha muda na upime homa ya manjano ( yellow fever) au kama vipi unaweza kupimia hapo mpakani Cha msingi uwe na cheti chake
Hiyo yellow fever bado inapimwa tu?Sio lazima, utakata kibali Cha muda na upime homa ya manjano ( yellow fever) au kama vipi unaweza kupimia hapo mpakani Cha msingi uwe na cheti chake
Border /mpakaniIcho kibali nakata wapi
uwe na passport tu,unaenda ama kwa basi kupitia sirari au horohoro tanga unagonga passport upande wa kenya na tanzania basi unaingia kenyaMimi ni mtanzania nataman Na mimi niende nchi jirani kuchek mazingira.
Naomba kujua hatua za kufuata mpk niende Au Ndio tunaenda tuu kama kkoo.
Border /mpakani