Naomba kujua hatua za usajiri wa kiwanda kidogo cha chakula

Joined
Nov 3, 2016
Posts
8
Reaction score
4
nimekua nikifanya biashara ya kufungasha unga wa ugali kwa mwaka sasa naona inalipa so nahitaji kuwekeza zaidi, nimenunua eneo nimejenga sehemu ya kuokea mikate, sehemu ya kusaga na kufungasha unga wa aina mbalimbali, ufungashaji wa maziwa fresh na mtindi pamoja ufungashaji wa nyama ya kuku. kwa 70% uwekezaji utakamilika. tatizo hasa nahitaji kujua taratibu za usajiri wa bidhaa hizo,mbinu za masoko na taasisi ambazo sitanisaidia kupata mikopo nafuu ya kiwanda hicho
 
ramani ya jengo lako ipitishwe kwanza na tfda, then kuna usajili wa jengo unalipia kiasi fulani cha pesa, baada ya hapo unapmba kibali cha tfda ukipeleka sample ya bidhaa zako wakazipime kwenye maabara yao, sample ikikidhi vigezo wanakupa certificate. Pia unatakiwa upate certificate ya tbs, kwa wenye viwanda vidogo wanasaidiwa gharama za tbs kwa kuandika nbarua kwa meneja wa sido mkoa wako ukiomba utambulishwe tbs kwa ajili ya kupata cheti cha ubora wa bidhaa zako, hvyo utapewa barua ya utambulisho na sido pia utapeleka sample tbs waipime ubora, ukipitia sido tbs hawakucharge chochote kwani gharama za tbs ni kubwa.
 
asante sana mkuu
 
Usajili pia kampuni itayodeal na hizo biashara.
 
nimekua nikifanya biashara ya kufungasha unga wa ugali kwa mwaka sasa naona inalipa so nahitaji kuwekeza zaidi, nimenunua eneo nimejenga sehemu ya kuokea mikate, sehemu ya kusaga na kufungasha unga wa aina mbalimbali, ufungashaji wa maziwa fresh na mtindi pamoja ufungashaji wa nyama ya kuku. kwa 70% uwekezaji utakamilika. tatizo hasa nahitaji kujua taratibu za usajiri wa bidhaa hizo,mbinu za masoko na taasisi ambazo sitanisaidia kupata mikopo nafuu ya kiwanda hicho

Namba kwanza uniweke wazi katika usajili.
Unataka usajili katika nyanja zipi?

1. Usajili wa biashara?
Hapa nazungumzia usajili wa kufanya biashara nchini?
TRA inahusikia.

2. Usajili wa Jina la biashara au kampuni yako?
Hapa nazungumzia BRELA AU HALMASHAURI YA JIJI AU WILAYA ndizo zinahusika.

3. Usajili wa bidhaa?
Namaanisha usajili wa bidhaa kama ni salama kwa mlaji na imekidhi viwango. Pia usajili wa jengo na vifaa vya usindikaji.
Hapa nazungumzia TFDA na TBS.

4. Usajili wa eneo na mazingira yanayokuzunguka kama ni sahihi?
Hapa nazungumzia NEMC.

Naomba unipe ufafanuzi, wewe unataka usajili katika nyanja zipi hapo juu.

Nitaweza kukusaidia katika 1,2 na 3.
Kwenye NEMC sipo vizuri sana.

Katika suala la soko pia naweza kukusaidia ila uwe wazi.

Kuhusu suala la mikopo sipo vizuri, hapa atakuja mtaalamu au mzoefu atakusaidia.
 
Usisahau OSHA na TRA kila mtu lazima aje kukutembelea
 
oky mkuu asante, usajili wa biashara tayari ninao cz nafanya biashara nyingine ya duka la rejareja, na unga nimekua nikiuza ambao nimeufungasha na jina kabisa ingawa sikusajiri sehemu yoyote na nimekua nikiuza local sehemu iliyopo. ninachohitaji ni usajili wa vyote ulivyoeleza hapo juu ingawa naona mirija ya mapato itakua mingi kwa kila usajili sasa duh hapo inakuaje
 
Anza kwanza na TFDA,inategemea upo Kanda ipi (Maana Tfda Wana zonal offices--Dar,Arusha,Mwanza,Mbeya,Dodoma,Tabora) au tumia wawakilishi wao (Idara ya Afya ya Jiji/Manispaa/Mji/Halmashauri).Wao watakagua Eneo na kukupa ushauri wa Jinsi gani uweke Jengo lako.Kuna fees za Ukaguzi,in most cases kwa kiwanda kidogo si pesa nyingi.Kwa hiyo utapata kusajiriwa kama mchakataji.Kisha Hatua zingine zitakuwa ikiwa unahitaji kusajiri bidhaa.Kwa TBS wanasajiri kwa mjibu wa Standards za bidhaa--kwa kutumia Codes Almentarius--Yaani bidhaa unayotengeneza ina standards Ambazo zipo specified,ikiwa unataka Kutengeneza,mfano Unga wa Makundi,whole maize floor au wa mhogo--High Quality Cassava Flour nk.Anza Hatua moja kisha Nyingine.Nakutia moyo usonge mbele.
 
Anza kwanza na TFDA,inategemea upo Kanda ipi (Maana Tfda Wana zonal offices--Dar,Arusha,Mwanza,Mbeya,Dodoma,Tabora) au tumia wawakilishi wao (Idara ya Afya ya Jiji/Manispaa/Mji/Halmashauri).Wao watakagua Eneo na kukupa ushauri wa Jinsi gani uweke Jengo lako.Kuna fees za Ukaguzi,in most cases kwa kiwanda kidogo si pesa nyingi.Kwa hiyo utapata kusajiriwa kama mchakataji.Kisha Hatua zingine zitakuwa ikiwa unahitaji kusajiri bidhaa.Kwa TBS wanasajiri kwa mjibu wa Standards za bidhaa--kwa kutumia Codes Almentarius--Yaani bidhaa unayotengeneza ina standards Ambazo zipo specified,ikiwa unataka Kutengeneza,mfano Unga wa Makundi,whole maize floor au wa mhogo--High Quality Cassava Flour nk.Anza Hatua moja kisha Nyingine.Nakutia moyo usonge mbele.
asante sana mkuu
 
Namba kwanza uniweke wazi katika usajili.
Unataka usajili katika nyanja zipi?

1. Usajili wa biashara?
Hapa nazungumzia usajili wa kufanya biashara nchini?
TRA inahusikia.

2. Usajili wa Jina la biashara au kampuni yako?
Hapa nazungumzia BRELA AU HALMASHAURI YA JIJI AU WILAYA ndizo zinahusika.

3. Usajili wa bidhaa?
Namaanisha usajili wa bidhaa kama ni salama kwa mlaji na imekidhi viwango. Pia usajili wa jengo na vifaa vya usindikaji.
Hapa nazungumzia TFDA na TBS.

4. Usajili wa eneo na mazingira yanayokuzunguka kama ni sahihi?
Hapa nazungumzia NEMC.

Naomba unipe ufafanuzi, wewe unataka usajili katika nyanja zipi hapo juu.

Nitaweza kukusaidia katika 1,2 na 3.
Kwenye NEMC sipo vizuri sana.

Katika suala la soko pia naweza kukusaidia ila uwe wazi.

Kuhusu suala la mikopo sipo vizuri, hapa atakuja mtaalamu au mzoefu atakusaidia.
Hapo namba tatu (3) mie naitaji msaada hapo, maaana kuna bidhaa ya chakula nataka kuingiza nimeenda TFDA wameniambia niisajiri hiyo bidhaa kitu pekee walichoniambia nitembelee website yao kuna maelezo na fomu za kujaza, ajabu nimeingia huko fomu zipo kweli ila maelezo hajayanitosheleza namna ya kufanya michakato ili niweze kupata hiko kibari cha kuingiza bidhaa yangi, hapo unanisaidiaje ndugu!?
 
Anza kwanza na TFDA,inategemea upo Kanda ipi (Maana Tfda Wana zonal offices--Dar,Arusha,Mwanza,Mbeya,Dodoma,Tabora) au tumia wawakilishi wao (Idara ya Afya ya Jiji/Manispaa/Mji/Halmashauri).Wao watakagua Eneo na kukupa ushauri wa Jinsi gani uweke Jengo lako.Kuna fees za Ukaguzi,in most cases kwa kiwanda kidogo si pesa nyingi.Kwa hiyo utapata kusajiriwa kama mchakataji.Kisha Hatua zingine zitakuwa ikiwa unahitaji kusajiri bidhaa.Kwa TBS wanasajiri kwa mjibu wa Standards za bidhaa--kwa kutumia Codes Almentarius--Yaani bidhaa unayotengeneza ina standards Ambazo zipo specified,ikiwa unataka Kutengeneza,mfano Unga wa Makundi,whole maize floor au wa mhogo--High Quality Cassava Flour nk.Anza Hatua moja kisha Nyingine.Nakutia moyo usonge mbele.
Safi
 
Mimi nataka nisaidiwe hapa mkuu hii namba 3 hii
3. Usajili wa bidhaa?
Namaanisha usajili wa bidhaa kama ni salama kwa mlaji na imekidhi viwango. Pia usajili wa jengo na vifaa vya usindikaji.
Hapa nazungumzia TFDA na TBS.
 
Mimi nataka nisaidiwe hapa mkuu hii namba 3 hii
3. Usajili wa bidhaa?
Namaanisha usajili wa bidhaa kama ni salama kwa mlaji na imekidhi viwango. Pia usajili wa jengo na vifaa vya usindikaji.
Hapa nazungumzia TFDA na TBS.
Mkuu uko mkoa gani? Tuwasiliane kupitia tanfoodtz@gmail.com utapata msaada huduma zote kuhusu kusajili na uendeshaji wa viwanda vya vyakula Tz.
Au nipm mkuu
 
Back
Top Bottom