Lugano Edom
Senior Member
- Dec 2, 2021
- 122
- 186
mkuu hao hufanya hivyo kama sehemu ya starehe pamoja na safari za matembezi kama ilivyokuwa team teza,subaru na sasa team crownWadau hivi mtu Akiwa adventure huwa anapata faida a gani. Na je gharama za usafiri anapatia wapi? View attachment 3228316mkuu hao hufanya hivyo kama sehemu ya starehe pamoja na safari za matembezi kama ilivyokuwa team teza,subaru na sasa team crown
@numbisa naomba kuuliza if cost ya mafuta ataweza kufidia safari ya dar to nairobi?Kuna wale influencers hao wanalipwa kutokana na views
@numbisa naomba kuuliza if cost ya mafuta ataweza kufidia safari ya dar to nairobi?
Maybe maana hao majamaa ukiwakuta road wapo kama vishada🔥Wapo wanaolipwa pesa ndefu hivyo wanaweza kufidia. Na wengine wanakua na sponsors na biashara zao binafsi