Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Karibu wana JF, namba kujuzwa mambo yafuatayo kuhusiana na mtoto mchanga.
Nawasilisha
- Ni muda gani tangia kuzaliwa anaweza kutoka nje?
- Ni muda gani tangia kuzaliwa anaweza kuanza kula chakula kingine zaidi ya maziwa ya mama?
- Aogeshwe mara ngapi kwa siku?
- Nini kitamtokea mtoto kama nitaanza kufanya mapenzi na mamake baada ya siku arobaini tangia kuzaliwa na kama sita tumia condom?
- Na mambo mengine ambayo sijayaorodhesha ila yanaweza kunifaa juu ya mtoto mchanga.
Nawasilisha