Naomba kujua hii ktu kama siyo matapeli

Naomba kujua hii ktu kama siyo matapeli

myabi

Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
75
Reaction score
17
Community vicoba loans nkweli wanatoa mikopo ama tizi
 
Kimbia vikoba wanavyotoa mikopo ni vile vya nyumbani au kazini kwako, hivyo vya mtandao utapigwa bureee
 
Community vicoba loans nkweli wanatoa mikopo ama tizi

Mkuu myabi nilishaeleimishwa juu ya hii kitu kama una kikundi maeneo yako naomba uni PM nije nijiunge I know watu wananufaika kwa fursa hii. VICOBA iko chini ya Postal Bank.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu myabi nilishaeleimishwa juu ya hii kitu kama una kikundi maeneo yako naomba uni PM nije nijiunge I know watu wananufaika kwa fursa hii. VICOBA iko chini ya Postal Bank.

Bwana Mu-sir ujue nn mm nitaka kjua kama hii COMMUNITY VICOBA LOANS wanajanvi mnaijua tujulishane nasikia mkuu/mheshimiwa ZITTO KABWE ndo msimamizi na leo kna watu kawaambia wafate zawadi zao kpitia ukurasa wake wa Facebook
 
Last edited by a moderator:
Ni uongo utalia.....
Acha kabisa....
Waonye na wengine....
 
We dada mzuri hujui maana ya kimbia eeh, hivi vikoba vya kwenye mtandao ni uongo wala usivikaribie

Hhahahah Gamaha ujue kiswahili ni lugha pana na kna tungo tata
 
Last edited by a moderator:
Bwana Mu-sir ujue nn mm nitaka kjua kama hii COMMUNITY VICOBA LOANS wanajanvi mnaijua tujulishane nasikia mkuu/mheshimiwa ZITTO KABWE ndo msimamizi na leo kna watu kawaambia wafate zawadi zao kpitia ukurasa wake wa Facebook

Hiyo ya Zitto siijui wala siko huko mimi naongelea vicoba chini ya postal bank na sio chini ya Ayatoulah Zitto mkuu myabi
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ya Zitto itakuwa na walakini na ndo naisikia kwako
 
Back
Top Bottom