Habar wadau wa jf docto ninaomba kuuliza leo ni zipi faida hasa za kutumia mafuta ya karafuu katika kuongeza nguvu za kiume au maumbile ya uume
Hii ni kutokana na habar ambazo nimekuwa nikisikia mitaani kua mafuta hayo husaidia kuongeza size au maumbile ya uume lkn pia wapo wanaodai ukiyatumia kuchua uume unaongeza nguvu tafadhali mwenye kufahamu anisaidie