Naomba kujua hili:Kuna sheria ya mtu kuomba kibari ili kufanya maandamano

Naomba kujua hili:Kuna sheria ya mtu kuomba kibari ili kufanya maandamano

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
3,423
Reaction score
2,046
Wanajanvi naomba kujuzwa kama kuna sheria inayomlazim mtu kuomba kibari ili kifanya maandamano yawe ya arusi au ya chama au unatoa taarifa tu vyombo husika kama polisi?
 
Mkuu hilo ni jibu au vipi? Kama kitu haukijui si lazima uchangie.

Ndio unatakiwa kutoa taarifa kwa maandishi polisi, ueleze unaandamana kwa sababu zipi na wao wakiona hakuna viashiria vya uvunjifu wa amani watakuruhusu na kama si shwari utazuiliwa.
 
Nashukuru ila bado sijajibiwa nadhani. Hiyo sheria inasemaje na ya lini maana naona wengi mnasema kuijurisha polisi lkn sijaona kuwa inakulazim uombe kibari na upuwe kibari.
 
Kwa upande wa kuandamana kwa vyama sheria inapatikana kwenye sheria ya vyama vingi au The Political Parties Act Cap 258 R.E. 2002) kifungu cha 11(4-8). Pia haki hiyo inapatikana kikatiba soma kifungu cha 17 uhuru wa kwenda unakotaka mradi huvunji sheria
 
Back
Top Bottom