Kwa upande wa kuandamana kwa vyama sheria inapatikana kwenye sheria ya vyama vingi au The Political Parties Act Cap 258 R.E. 2002) kifungu cha 11(4-8). Pia haki hiyo inapatikana kikatiba soma kifungu cha 17 uhuru wa kwenda unakotaka mradi huvunji sheria