Naomba kujua historia ya Christina Shusho

shusho anajua
Ana sauti nzuri
ni mzuri juu mpaka chini
Rangi nzuri sana
Ni mzaliwa wa Kigoma(mtanirekebisha kama nimekosea)
Naomba niishie hapa nisije nikaharibu. Namuelewa sana, mno.
View attachment 2582680
Kigoma,Katavi na Bukoba ndiko kwakwenda kuoa,wadada wa kule ni mchanganyiko,wako vizuri kwa sura hadi maumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…