Naomba kujua historia ya Urusi

ubarikiwe sana mkuu
 
Asante mkuu kwa nondo zilizoshiba
 
Mkuu The Emperor mbona kimyaa kingi mkuuu.....tunasubiri NWO na Cold War in Africa kaka, cc The Emperor
 
Tuweke mambo sawa USSR imeanzishwa after WW2, pili huwezi kuzungumzia kukuwa kiuchumi, kisiasa, kijeshi nchi ya urusi bila kugusa THE GREAT LEAP FOWARD, 5YDP, WARSAWPACT CONVETION kama military response dhidi ya NATO, CEMENCON policy yaani mkakati wa uchumi kwa nchi za kikomunisti dhidi ya Marshal Plan....bila kuyazungumzia kwa upana haya historia ya Urusi utakua umemega kidogo
 
Tukumbuke pia 1922 Dec wazo la kutengeneza Russia confederation ndo lilianza nchi kama Ukraine na Berarussia zikiwa mstari wa mbele ila kukamilika mpango huo nakua na USSR kamili ni baada ya WW2.. Pia kijeshi shirika la Upererezi KGB limefanya kazi ya ziada kuiweka Russia juu ingawa kwa sasa mshindani wake kamzidi kwa kiasi flani
 
TANGANYIKA NI YETU SOTE
Yenu peke yenu. Nchi haichangwanyi kama chumvi na supu
 
Mkuu the Emperor ubarikiwe sana, nmekufuatilia mwanzo mwisho, umemwaga darasa bila ada....
Nasubiri mwendelezo.
Heshima kwako mkuu.
 
Mkuu the Emperor ubarikiwe sana, nmekufuatilia mwanzo mwisho, umemwaga darasa bila ada....
Nasubiri mwendelezo.
Heshima kwako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…