Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,087
Salaamu Wanabodi!
Sote tunawajua wakinga kwa kuwaona tu katika biashara zao! Hawa watu wanafanikiwa sana kibiashara kwa sasa,Ukienda kariakoo wamejaa wao,Mwanjelwa wamejaa wao na kwa sasa ndio wamiliki wa mahotel mbalimbali, Wengi wao hawajasoma kabisa lakini ni matajiri wakubwa! Je historia yao ikoje na wanafanyaje mpaka wanafanikiwa kimaisha!!!