Naomba kujua jinsi ya kuandaa script nzuri

The entertainer

New Member
Joined
Sep 1, 2022
Posts
4
Reaction score
1
Habari wanajamii forums,

Mimi ni kijana ninayependa masuala ya utangazaji, na kutokana na nafasi iliyotangazwa na wasafi media ya mashindano ya kutafuta watu wenye kipaji cha utangazaji, nikaona ni vyema nikajaribu bahati yangu.

Hivyo lengo la kuja kwenu ni msaada wa jinsi ya kuandaa script nzuri ambayo naweza nikaitumia na ikawashawishi majaji.

Shukrani!!
 
Kwa ushauri wangu mdogo sana, nadhani shida sio kuandika script ila shida ni kwamba unaandika nini? (Idea/content), cha kukifanya wewe wekeza kwenye tafiti ya muda mfupi angalia kwenye hiyo field yako tafuta tatizo ambalo lipo litengenezee content kwa kulisolve hicho ndo kitakupa kazi.

Hao target yao wanahitaji creative people ambao wanaenda kuongeza kitu kwenye media yao kitakacho wapa competitive edge sokoni dhidi ya wapinzani wao kama clouds etc. Chunguza ni kitu gani media nyingi za bongo hazifanyi na kinaweza kuwa current na kikapendwa na target population yao ambayo wameitarget wao then kitengenezee kama kipindi nenda kakipresent I'm sure kama ukiwa serious na kikiwa na contents za kutosha na ukakiwasilisha vyema unaweza ukapata mwanya, kama sio kupata nafasi ya utangazaji unaweza ukaingizwa hata kitengo cha uandaaji wa maudhui inategemea na utakavyo jiuza siku ukipata nafasi ya kuwasilisha
 
Shukran sana nitafanyia kazi ushauri wako
 
Wasafi hawahitaji script writer..
Wanahitaji mtangazaji ...
Script writer utawakuta huko ingawa I doubt kama wapo
 
Back
Top Bottom