The entertainer
New Member
- Sep 1, 2022
- 4
- 1
Kwa ushauri wangu mdogo sana, nadhani shida sio kuandika script ila shida ni kwamba unaandika nini? (Idea/content), cha kukifanya wewe wekeza kwenye tafiti ya muda mfupi angalia kwenye hiyo field yako tafuta tatizo ambalo lipo litengenezee content kwa kulisolve hicho ndo kitakupa kazi.Habari wanajamii forums,
Mimi ni kijana ninayependa masuala ya utangazaji, na kutokana na nafasi iliyotangazwa na wasafi media ya mashindano ya kutafuta watu wenye kipaji cha utangazaji, nikaona ni vyema nikajaribu bahati yangu.
Hivyo lengo la kuja kwenu ni msaada wa jinsi ya kuandaa script nzuri ambayo naweza nikaitumia na ikawashawishi majaji.
Shukrani!!
Shukran sana nitafanyia kazi ushauri wakoKwa ushauri wangu mdogo sana, nadhani shida sio kuandika script ila shida ni kwamba unaandika nini? (Idea/content), cha kukifanya wewe wekeza kwenye tafiti ya muda mfupi angalia kwenye hiyo field yako tafuta tatizo ambalo lipo litengenezee content kwa kulisolve hicho ndo kitakupa kazi.
Hao target yao wanahitaji creative people ambao wanaenda kuongeza kitu kwenye media yao kitakacho wapa competitive edge sokoni dhidi ya wapinzani wao kama clouds etc. Chunguza ni kitu gani media nyingi za bongo hazifanyi na kinaweza kuwa current na kikapendwa na target population yao ambayo wameitarget wao then kitengenezee kama kipindi nenda kakipresent I'm sure kama ukiwa serious na kikiwa na contents za kutosha na ukakiwasilisha vyema unaweza ukapata mwanya, kama sio kupata nafasi ya utangazaji unaweza ukaingizwa hata kitengo cha uandaaji wa maudhui inategemea na utakavyo jiuza siku ukipata nafasi ya kuwasilisha
Shukrani sanaScript uhai wake Ni content hivyo nenda idea ambayo wao hawana ukizingatia pia wao Ni entertainer media.
😂😂😂Tutakumbukana kakaUtatukumbuka lkn
Jamani kwasisi ambao tunaandika script lakini kupata sehemu za kupeleka iliwaandaaji wa filamu wazipokee nichangamoto.Shukrani sana
Script uhai wake Ni content hivyo nenda idea ambayo wao hawana ukizingatia pia wao Ni entertainer media.