Waambie watalaam ni zile za kijanja au ya ukweliHabari wakuu.
Natumia windows 10.Katika siku za usoni nimekuwa naletewa message kuwa windows 10 yangu imekaribia ku-expire na hivyo inabidi nifanye activation.Sasa sina product key.Je kuna namna ya kufanya activation automatically bila ya kuwa na product key?
Asante
Chifu umehamia S.F California nini?! Huku kwetu hayo mambo ya kununua laptop zenye windows stickers ni moja ya mambo ya anasa tunazoamini zinaweza kuepukika!!! Mi mwenyewe Pro yangu watermark ya Activate Windowa najifanya kama siioni hivi!!!!Mashine yako ilikuja na windows gani? Kama ina sticker ya win 7 ama 8 tumia keys zake ku activate 10 zinakubali.
Hamna sticker yoyote ya windows?Ilikuwa ina windows 10 tayari
Chifu umehamia S.F California nini?! Huku kwetu hayo mambo ya kununua laptop zenye windows stickers ni moja ya mambo ya anasa tunazoamini zinaweza kuepukika!!! Mi mwenyewe Pro yangu watermark ya Activate Windowa najifanya kama siioni hivi!!!!
Mkuu windows 10 ni kama bure vile Microsoft kaachia kila sehemu. Laptop used nyingi zina sticker za windows kuna program unaweka zina extract keys toka kwenye bios, ukiwa na windows genuine inaondoa usumbufu mdogo mdogo.Chifu umehamia S.F California nini?! Huku kwetu hayo mambo ya kununua laptop zenye windows stickers ni moja ya mambo ya anasa tunazoamini zinaweza kuepukika!!! Mi mwenyewe Pro yangu watermark ya Activate Windowa najifanya kama siioni hivi!!!!
Otherwise ifanyike nn, mzeeMkuu windows 10 ni kama bure vile Microsoft kaachia kila sehemu. Laptop used nyingi zina sticker za windows kuna program unaweka zina extract keys toka kwenye bios, ukiwa na windows genuine inaondoa usumbufu mdogo mdogo.
Kama walivyosema wadau kilichobakia ni kms, jaribu link za chini ikishindikana nitakuekea.No...kuna mtu alinifanyia installation tu ya hiyo windows 10.
Hakuna sticker
Mkubwa nakusalimia, niliwahi kuona comment yako miaka mingi kidogo. Mpaka leo sijaisahau. It was veri gudiKama walivyosema wadau kilichobakia ni kms, jaribu link za chini ikishindikana nitakuekea.
Kwa kiasi kikubwa maelezo yako ni sawa ingawaje bado sijafahamu mipaka ya bure MS waliiweka hadi hatua ipi au kwa mashine zipi! Kwa mfano nakumbuka back in the days nilikuwa natumia Windows 8.1; na ilipokuja W10, kulikuwa na Free Upgrade.Mkuu windows 10 ni kama bure vile Microsoft kaachia kila sehemu. Laptop used nyingi zina sticker za windows kuna program unaweka zina extract keys toka kwenye bios, ukiwa na windows genuine inaondoa usumbufu mdogo mdogo.
ofa ilikuwa ni mwaka mmoja wenye windows 7 na 8 wanapata 10 bure, ila mpaka leo kimya kimya ukitumia key ya win 7 ama 8 inakubali kwenye win 10.Kwa kiasi kikubwa maelezo yako ni sawa ingawaje bado sijafahamu mipaka ya bure MS waliiweka hadi hatua ipi au kwa mashine zipi! Kwa mfano nakumbuka back in the days nilikuwa natumia Windows 8.1; na ilipokuja W10, kulikuwa na Free Upgrade.
Sasa hii ya sasa nilinunua kwa mdau hapa hapa JF; sasa yeye alitumia licence ya aina gani, I dunno lakni haijawa activated! Na inaonesha ilikuwa ni company PC ambayo ilitumia same licence na pc zingine.
Je product key ya window vista inakubali katika windows 10?ofa ilikuwa ni mwaka mmoja wenye windows 7 na 8 wanapata 10 bure, ila mpaka leo kimya kimya ukitumia key ya win 7 ama 8 inakubali kwenye win 10.
mara nyingi pc za kampuni zinakuwa na genuine windows, angalia tu kulia, kushoto chini etc kama kuna sticker ya windows
haikubaliJe product key ya window vista inakubali katika windows 10?