Naomba kujua Jinsi ya kuingia 'Ku login' kwenye tovuti ya TRA ili kushiriki minada

Naomba kujua Jinsi ya kuingia 'Ku login' kwenye tovuti ya TRA ili kushiriki minada

abour

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
735
Reaction score
309
آنلاین الخربانه بنلغیرنححفغ ل أن خیلیزرنیس
 
Inagoma ikifika hapo
IMG_20200102_103609_632.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Password yako haijakidhi vigezo, hakikisha inafuata vigezo hivi:

1. Idadi ya herufi (na namba) ifike 10 au zaidi
2. Hakikisha password yako ina namba/tarakimu
3. Ina herufi ndogo
4. Ina herufi kubwa
5. Ina herufi maalumu (hapa tumia "@" au "&" au "!")

Pia hakikisha password yako hiyo unajaza sehemu mbili:
1. Hapo kwenye "password"
2. "confirm password"



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom