Naomba kujua jinsi ya kuomba nafasi za vyuo vya Ualimu

Man Ngosha

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
219
Reaction score
69
Habari wadau,
Naomba kwa anayefahamu namna ya kuapply nafasi za ualimu grade iii A,
Natanguliza shukrani
 
Habari wadau,
Naomba kwa anayefahamu namna ya kuapply nafasi za ualimu grade iii A,
Natanguliza shukrani

Kizazi cha dot.com bwana! Unachojua wewe ni JF na Facebook tu. Hebu pitia web ya Wizara ya Elimu faster
 
Tuma maombi kwa kwa katibu mkuu,wizara ya elimu na mafunzo box 9121 Dsm.ambatansha na cheti cha shule
 
Pia hakikisha sifa zinatosha kuomba ualimu Grade 3A. Uwe na angalau div 4 ya point 27
 
wizara bado haijatoa matangazo yakuanza application so subirini:der:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…