Naomba kujua jinsi ya kusafisha silver

Naomba kujua jinsi ya kusafisha silver

Mtagwa lindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
311
Reaction score
96
Wakuu,

Nipo Uyui mashambani nahitaji kujua namna ya kusafisha cheni na pete ya silver maana huku hamna sonara, tafadhali.
 
Nijuavyo mie, unaeka sabuni kwenye maji, unasugua silver zako na mswaki au vibrush na inatakata
 
ndio, tumia vibrush na dawa ya mswaki
lakini pia wanasema unaweza kuidip kwenye coca cola kwa masaa 12 halfu isafishe
pia wanasema unaweza kujaribu kutumia lipstick, paka lipstick kwenye tissue halafu safisha silver na tissue hii

 
Chukua baking powder changanya na maji ya uvuguvugu nasabuni ya unga. Weka vipuli vyako vilale au vishinde
 
Back
Top Bottom