Mtagwa lindi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 311 Reaction score 96 Mar 18, 2016 #1 Wakuu, Nipo Uyui mashambani nahitaji kujua namna ya kusafisha cheni na pete ya silver maana huku hamna sonara, tafadhali.
Wakuu, Nipo Uyui mashambani nahitaji kujua namna ya kusafisha cheni na pete ya silver maana huku hamna sonara, tafadhali.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Mar 19, 2016 #2 Nijuavyo mie, unaeka sabuni kwenye maji, unasugua silver zako na mswaki au vibrush na inatakata
Pilipilihoho JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 202 Reaction score 145 Mar 22, 2016 #3 ndio, tumia vibrush na dawa ya mswaki lakini pia wanasema unaweza kuidip kwenye coca cola kwa masaa 12 halfu isafishe pia wanasema unaweza kujaribu kutumia lipstick, paka lipstick kwenye tissue halafu safisha silver na tissue hii
ndio, tumia vibrush na dawa ya mswaki lakini pia wanasema unaweza kuidip kwenye coca cola kwa masaa 12 halfu isafishe pia wanasema unaweza kujaribu kutumia lipstick, paka lipstick kwenye tissue halafu safisha silver na tissue hii
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,804 Reaction score 12,227 Mar 22, 2016 #4 Tumia HCL lakini isiwe conc.
mimi.mimi Senior Member Joined Jul 11, 2013 Posts 134 Reaction score 73 Mar 25, 2016 #5 Chukua baking powder changanya na maji ya uvuguvugu nasabuni ya unga. Weka vipuli vyako vilale au vishinde
Chukua baking powder changanya na maji ya uvuguvugu nasabuni ya unga. Weka vipuli vyako vilale au vishinde