Supervision
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 265
- 203
kila kitu kinachorushwa kwenye TV kilianza kwa kuandikwa kwanza.Makala irushwe kwenye ti vii how?
Makala ya uandishi?
Nachojiuliza ataauza alizoshoot aunstory I'll washootkila kitu kinachorushwa kwenye TV kilianza kwa kuandikwa kwanza.
huwezi kujua ana kitu gani hapo alipo. labda tayari anazo alizo rekodi. au vyovyoteNachojiuliza ataauza alizoshoot aunstory I'll washoot
mkuu nenda azam pale kajielezee vizuri. wakikuelewa utapiga mpunga mrefu sanaHellow habari,mimi nii mwandishi wa makala za utambuzi naomba nisaidiwe jinsi ya ambavyo naweza kuuza makala zangu kupiyia magazeti.Ama kama naweza kuzirusha kupitia vipindi vya TV
Inawezekana, nishtue, nikuelekezeHellow habari,
Mimi ni mwandishi wa makala za utambuzi naomba nisaidiwe jinsi ya ambavyo naweza kuuza makala zangu kupitia magazeti. Ama kama naweza kuzirusha kupitia vipindi vya TV.
Sio hapa, nifuate kuleeeee, nikupe namba zanguNieleze kaka
Ofisi zao ziko wapi hapa Dar ?mkuu nenda azam pale kajielezee vizuri. wakikuelewa utapiga mpunga mrefu sana
Umerekodi vipindi mwenyewe au ulienda production house ?Makala pia huweza kuwa zimerekoduwa na baadaye huwa zinarushwa.Naona nyingi zikirushwa pia kuoitia TV.
Ninazo pia ambazo nimezirekodi.Lakini ishu napenyaje
Hebu fafanua kdogo mkuu kuhusu hapo AZAM ?mkuu nenda azam pale kajielezee vizuri. wakikuelewa utapiga mpunga mrefu sana